Wanajamvi naomba kujuzwa aliko Francicy Kiwanga(kijana)mkurugenz wa tume ya haki za binamu,naona siku hizi kuna yule mama Helen kijo Bisimba,au ndo ameshukua nafasi yakijana yule
My take! infomation z power au lejea katika katiba ya Tz ibara ya 18 kifungu kidogo.......ulazima wa kupata taarifa
kwanza unaweza kufafanua hiyo MY TAKE yako please??
Back to the point:
Kiwanga alikwenda LHRC hapo dar kuchukua nafasi ya Kijo bisimba wakati huyo mama akienda kufanya PHD nje ya nchi. kabla ya hapo kiwanga alikuwa LHRC kituo cha Arusha. Mwaja Jana kijo bisimba kamaliza PHD yake na kurejea kazini. So Kiwanga naye karudi kwenye kituo chake cha kazi cha zamani Arusha.

Nafafanua my take yangu(nilikua na maana ya kuwa)nijuzwe jamaa sasa hivi yuko,lengo kuzuia wale watu wa utani.ndo mana nikarejea ktk katiba!!
ASANTE SANA kwa kunipa majibu mazuri,na ufafanuzi,allah akujalie