Wapenzi wa Prison Break

Hakuna mtu mwenye roho ngumu na mbishi kama T-bag. Huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzo lakini asee huyu jamaa amecheza ile role vizuri sana
kwa asilimia kubwa sana T-bag amenogesha hiyo show na kwa kulijua hilo ndio maana alikuwepo ktk kila msimu/season.
 
J
Sio walitoka sona.. walikua wametoka fox river..season one hiyo... John abrrutzzi akapiga mkono shoka.. ana roho ngumu sana yule jamaa...
 
Halafu kwenye mishe zote lazima azipate akickia mchongo mpya anakuna sikio kwanza ila Michael Scofield alimuweza alipomuuza ktk gereza la Sona[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahaaa nakumbuka alikua amesimama ukutani mwa tunel akiwa na berrick akapangusa pua akasema "mmxxxxx that son of the bitch sold us out"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…