Wapenzi wa Prison Break

Yeah and they are also very unpredictable unapodhani tukio linalofuata litakua hivi linakua quet opposite sio za kwetu movie ikianza tuu unajua itaishiaje.
Title tu rafiki yangu ushamaliza picha zima.
 
**James Whistler:**

Lechero: huyu jamaa alikuwa mbabe sana gerezani ila mwisho wa picha akaja kukalishwa

Don Self: huyu jamaa alikuwa mbinafsi sana, mwisho wa picha akaja akawa ndondocha

Gretchen Morgan: huyu demu anaroho ngumu sana

Tujikumbushe kidogo Scylla

Compyuter Engn mzee wa kunyonya data. sikumbuki alikuja kufa kwa kifo gani huyu..


General Jonathan
Krantz


Hapa mzee anaona wajanja wamesha fika room ya Scylla

Don SELF sijui alizingua nini hapa..
 
Dah sikumbuki scene gani ila bonge moja la season namkubali sana mzee mzima T-Bag hatari sana huyo mtu wapi Bellick mtoto wa mama ila alikufa kishujaa kwa kujitoa muhanga maana bila hivyo ilikua ni ngumu kuipata sylla
 
Mkuu aliyeficha hela ni yule mzee walilua wanamuita D.B Cooper jina lingine nimelisahau.
 
Dah sikumbuki scene gani ila bonge moja la season namkubali sana mzee mzima T-Bag hatari sana huyo mtu wapi Bellick mtoto wa mama ila alikufa kishujaa kwa kujitoa muhanga maana bila hivyo ilikua ni ngumu kuipata sylla
Hahaa kweli T-Bag alikua shida aisee.
 
Dah sikumbuki scene gani ila bonge moja la season namkubali sana mzee mzima T-Bag hatari sana huyo mtu wapi Bellick mtoto wa mama ila alikufa kishujaa kwa kujitoa muhanga maana bila hivyo ilikua ni ngumu kuipata sylla
Bellick alikuja kuwa mchumba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…