Wapenzi wa muvi; Je, Iko Uwais ndio mrithi wa Tonny Ja, Donie Yen, Jet le na wengineo (picha & Video)

Binafsi nimemuona kwenye Raid 2, ni mpiganaji mzuri sana ....
Yote tisa kwa sasa Mimi naona Donnie Yen bado yuko kwenye kilele cha peke yake kuliko hata hao wote uliowataja...ushahidi wa haya tafuta movies zifauatazo
1. Legend of the fist (paroos) , humo anapiga mkono na kulia kama Bluce Lee
2. The Iceman 2014, hii ni fair fight
3. Ip Man 2
4. Ip Man 3
5. Kung Fu Jungle
Donnie Yen , aisee namkubali sana huyu jamaa
Na kuna ile moja ya msituni, panga zinatembea balaa, sijui inaitwaje nayo imetulia kinoma.
 
Niliwahi kucheki movie yake moja anamwokoa msichana mmoja asiuzwe kahaba na matajiri fulani, kuna sehemu anakuja kubaini mshkaji wake aliyokutana naye kwenye basi akija mjini ni kibaraka wa maadui zake. Ngumi zikapigwa kwenye lift, ila mwishoni anauawa na huyo msichana anakuwa huru
inaitwa merantau
 
Iko uwaisi yupo vizuri lakin ajitahidi kidogo kufika level ya donie yen na jet Lee
So far naweza kusema tonny ja na uwais now wapo level moja
 
Back
Top Bottom