cc ngap& km?Toyota Wish, model 2004, engine Vvti, bei 13M,contact 0689699704View attachment 630995View attachment 630997View attachment 630998View attachment 630999View attachment 631000View attachment 631002View attachment 631005
Wacha waje wengine watusaidieBMW X3 au Honda CRV unachagua ipi na kwa nini?
Washachelewa sana, nilikuwa nazo zote hapa nataka nigawe kwa atakayetoa sababu nzuri, lakini wamepitisha muda.Wacha waje wengine watusaidie
1.8CC,52720kmcc ngap& km?
Aisee kumbe ningejaribu ningebahatika, mimi ningechagua Bmw sababu naipendaWashachelewa sana, nilikuwa nazo zote hapa nataka nigawe kwa atakayetoa sababu nzuri, lakini wamepitisha muda.
Hii Harrier nahisi itakuwa mali yangu muda si mrefu kama haijauzwa...
Ntakuwa nakupa lift mkuu wangu. Iila usiwe unapiga honi....Itatusaidia mno kwenda kuchekia mechi ya Barca mkuu.
Ntakuwa nakupa lift mkuu wangu. Iila usiwe unapiga honi....
Kama bado ipo nicheki pmToyota Ipsum, model 1998,cc1890,mileage 100000km, bei 5.5M,contact 0689699704View attachment 632160View attachment 632161View attachment 632162View attachment 632163View attachment 632164View attachment 632165View attachment 632166View attachment 632167View attachment 632168View attachment 632169
Mungu akujaalie ufanikiweMkuu nikiwa na 25M naweza kupata Harrier Old Model (2L) na IST au CAMI zenye akili... Namba zisiwe chini ya DJ..
BMW X5,sababu BMW ndio brand ninayopendaVolvo XC90 vs BMW X5 lipiunachagua na kwa nini?
Kwa hiyo huangalii performance, fuel efficiency, safety, luxury,space etc unaangalia brand tu?BMW X5,sababu BMW ndio brand ninayopenda
Wakati mwengine muulizaji anakua mjuzi zaidi kuliko muulizwaji.Kwa hiyo huangalii performance, fuel efficiency, safety, luxury,space etc unaangalia brand tu?