Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

Status
Not open for further replies.
Ndio kaka itapendeza pia ikiwa Rv4 J
Hizi hapa hii DJ ina bima kubwa na bei yake ni 17M, na hii DC bei ni 14.5M,chaguo ni lako mkuu karibu sana, tuwasiliane 0689699704
IMG-20171115-WA0011.jpg
IMG-20171115-WA0010.jpg
IMG-20171115-WA0008.jpg
IMG-20171115-WA0009.jpg
IMG-20171115-WA0007.jpg
IMG-20171115-WA0006.jpg
IMG-20171115-WA0003.jpg
IMG-20171115-WA0004.jpg
IMG-20171115-WA0005.jpg
IMG-20171115-WA0002.jpg
IMG-20171115-WA0000.jpg
IMG-20171115-WA0001.jpg
 
Mkuu mimi nina swali la kizushi. Hivi ni kweli hili gari huo mwaka 1998 lilikuwa limetengenezwa???

Au ni just tuu iyo model ilikuwa discoverd mwaka huo 1998.
Maana nakua siamini kuona hili gari lina miaka 20 sasa.

Nipe concept
Ukipata jibu nishtue na mm...

Nilishangaa pia kuna Noah za 2003
 
Mkuu mimi nina swali la kizushi. Hivi ni kweli hili gari huo mwaka 1998 lilikuwa limetengenezwa???

Au ni just tuu iyo model ilikuwa discoverd mwaka huo 1998.
Maana nakua siamini kuona hili gari lina miaka 20 sasa.

Nipe concept
Mwenyewe pia linanipiga chenga hili suala imebidi nimuulize mwana jf mwenzetu Maui PRONDO nae amejibu kama ifuatavyo.
“It is possible. Mfano kuna Bmw 3 series, kitaalam zinaitwa E46 zimeanza kutengenezwa 1998 zikaendelea hadi 2005.Au volvo xc90 zimeanza 2002 mpaka 2009”.
Kwa concept hiyo natumai umepata mwangaza mkuu, kwamba inawezekana model 1998 lakini ikaendelea kutengenezwa kwa miaka inayofuata.
 
Sawa mkuu
 
Inawezekana mkuu japo ongezeko la 1.5M mpaka 1M kwenye hiyo budget linaweza lisiepukike.
Nimepata hii Harrier ni 5s engine, bei yake ni 18M, sasa ukichanganya na hii Ist hapo itafika 27,sasa baada ya hapo tunaingia kwenye negotiation kujitahidi tufike hapo 25M au angalau tukaribie. View attachment 629035View attachment 629036View attachment 629037View attachment 629038View attachment 629039View attachment 629040View attachment 629041 Hii ni 5s kama itakupendeza pamoja na hiyo Ist nyeusi tuanze mchakato
Hii Harrier nahisi itakuwa mali yangu muda si mrefu kama haijauzwa...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom