xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
Mbishe zinasonga Hopefull.
Kwa sie wahenga ingawa sio zamani sana
Walipotelea wapi hawa wachora katoon na katuni zao memkumbuka sana mshkaji wangu pampula na mdogo ake hampula
sijamsahau professor ndumilakuwili
Harakati za pimbi huyu yeye hajawah kubandua dem kuanzia namsoma
ziko nyingi na sio vibaya kukumbushana visa
:NB.... Pia ngependa kutoa ushauri kwa wamiliki wa izo katuni kutafuta platform nyingine ili kuwafikia watu wengi mostly enternet na wanaeza kutengeneza pesa nzuri tuu
Niko na baba ubaya hapa naona anafanyia kifaru chake service sjui nan kamuudhi [emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba kuwasilisha