Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

Wakuu habar,

Ni wazi kuwa kuna nyimbo ukisikiliza moyo unajihisi umetua mazito uliyoyabeba hakika nyimbo za injili(gospel) ndio nyimbo pekee zenye kuvutia moyo apart from other song genre's

Binasfi yangu nikisikiliza hizi nyimbo za GOSPEL hata kama ninamajonzi,moyo unasuhuzika sana na kujihisi nimepona(hauheni)

1.glorious celebration-usilie
* Mwimbo huu mala nyingi napenda kuhusikia pale napokuwa peke yangu,au sehemu nzuri nimetulia,huwa unanipotezea mawazo yote.

2.sinach-way maker
* Mwimbo huu huwa napenda kuusikiliza pale napokuwa safarini mala,mala nyingi huniondolea mawazo ya ajali au mambo mabaya mabaya niwapo safarini..
- Maana mungu ndio mtengeneza njia.

3.joe praize ft soweto choir-mighty god
*uimbaji wa msanii JOE PRAISE ndio ambao unao nivutia katika wimbo huu ni wimbo ambao huko inspired sana huwezi choka usikia mala mbili mbili.

4.mercy masika-mwema
*uzuri wa gospel ni kwamba mwimbo unaimbwa kuhusu vitu real ambavyo tunaishi na tunaviona na vipo mercy ni msanii mzuri sana utunzi wake ni mzuri saaana..

5.evans ogboi-shout hallelujah
*mwimbo upo real sana napia unachezeka tu vizuri,wala hutojutia kukaa kwenye computer yako ama simu

Nyimbo zingine ni
-joe praize_alpha n omega
-aaron taaron ft b mik_i will sing of your praise
-sinach_i know who i am
-joyous celebration_my god is good
-joe praise_unchangable

Nyingine mnisaidie wanajamvi.. list ni kubwa saana...

Karibuni..

post using my macbook air using jamiiforums app
Yeah ni kweli ila nyimbo zipo nying sana

Joel_sitabaki kama nilivyo
Madam Lucky_ Yatima

Hey kumbe wimbo wa mercy masika ulifika Tanzania. Ninachosikia kutoka kwa wabongo ni kuwa hawajui msanii yeyote wa Kenya
 
Back
Top Bottom