Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

Hivi Jamani.Ule wimbo sijui Ni kwaya..Waliimba wanajwaya pale Airport mpaka magufuli akaungana nao.Nani kaimba nikanunuee......Aiseee nikiusikiaa machozi ya simanzi hunitokaa'Usiwanyime haki wanyonge...jua haki IPO inacheleweshwaaa..Mwenye madaraka IPO siku utashuka . .kama sijakosea
.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaitwa AIC Makongoro Vijana Choir, Mwanza, waliimba pia wimbo maarufu wa 'Kekundu'. Wimbo huo wa Amani uko katika album yao ya 'Keusi'.
 
Kuna wimbo unaitwa "man of sorrows" by Hillsong united. Naupenda sana!
Waimbaji wanasema wakati wanauimba kwenye mazoezi waliona km muda umesimama. Ni mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom