Wapenzi wa Empire Series tukutane hapa

Wapenzi wa Empire Series tukutane hapa

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,945
Reaction score
9,458
Mimi nimpenzi wa series ya Empire nilivutiwa na umahili wa Locius na Kuki aka Tarajj,ila nikawa na boreka na vitendo vya Jamal kuwa Shoga! ila nikajipa muda kwani tangu Season 1 hadi sasa Season 4, episode 9 nikipindi kirefu!Japo alinikera natabia chafu ya ushoga nikawa na mkubali katika kuimba! Yeye na mdogo wake Yazzili aka Hakeem, ila nikawa na mkubali Andre,ila watu waliibeza sana Empire hata 50cent aliwabeza kuwa Empire haiwezi kuifikia Series yake ya Power! Ila Naona waliona wabadili gear angani baada yakuwa wanatukanwa mitandaoni na mashabiki. ila sasa inaenda katika umafia nawao wanaanza kuwa magangster wameanza kubadilika sana. Empire ya Season 1-2-3 tofauti na Season 4.
9d8df76820cdf39c8d20a6e1fc6dfaeb.jpg

Karibu tuichambue.
 
Back
Top Bottom