Wapenzi wa Efootball

Ader fla19

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
25
Reaction score
25
kwa wapenzi wa Efootball katika harakati za kupunguza stress na kutafuta burudani kwa bei chee karibuni tutengeneze league yetu wenyewe....
Cha kufanya tunatengeneza Group la wasap kwa ajili ya kutuma matokeo ya mechi ya kila mtu..

Nicheki wasap #0753112808
tuma jina la team yako na logo unayopenda tema yako ionekane halafu team zikifika 20 league inaze mapema....



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…