Wapenzi wa chelsea

mankachara

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
6,161
Reaction score
3,496
....................
 

Attachments

  • PhotoChooser-ecc57ff0-f128-4998-9778-8d7e8d79cf6e.jpg
    12.7 KB · Views: 2,375
Laaana ya ubaguzi imewakumba,mwaka Jana waliwatoa,mwaka juu wamelipa kisasi..red aliyopigwa Ibra ni ya mizengwe PSG walistahili kusonga mbele....hongera kwao.
 
Ubaguzi umewaponza,

mkuu Tee Bag naomba ufafanuzi kidogo ubaguzi gani wamufanya hawa jamaa?bahat mbaya gem la jana sijaangalia hebu nambie kilicho waponza hawa jamaa mpaka wakakalia
 
Last edited by a moderator:
mkuu Tee Bag naomba ufafanuzi kidogo ubaguzi gani wamufanya hawa jamaa?bahat mbaya gem la jana sijaangalia hebu nambie kilicho waponza hawa jamaa mpaka wakakalia

Kule Paris, walimchomoa suleyman ndani ys treni sababu no mweusi. Jana blues walikua 12 uwanjani dhidi ya 10
 
Last edited by a moderator:
Kule Paris, walimchomoa suleyman ndani ys treni sababu no mweusi. Jana blues walikua 12 uwanjani dhidi ya 10

hee! Walikuwa 12? Kivip mkuu,,, hapo unazidi kunielezea miujiza..
 
Fellow pundit Graeme Souness added at half-time: "We had a great game of football going on there and it saddens me, and makes me angry at the same time, that gamesmanship is deciding these big games.

"It's not a sending off, it is Oscar's studs that are high. This has spoiled the game. It's not about the best team winning it any more.

"If that's what our game is coming to we need to sort it out and sort it out quickly."


Cc: Mgirik
 
Last edited by a moderator:
Kutolewa Chelsea itapunguza kelele za Jose Mourinho
 

mkuu Tee Bag umeshanipeleka marikit tayar,, hyo lugha na mm ni sawa na kukutana na mama mkwe akiwa mtupu lazma nikimbie.....

Nakumbuka nikiwa form one kuna mzee mmoja alikuwa mstaafu wa jeshi alikuwa anapenda sana kuongea kiingereza bwana ee kila nikitoka shule nikikutana naye ananisemesha kiingereza mbele ya watu na mm nilikuwa nashindwa kumjibu. Ikabidi niongeze umakin kila nikifika karibu na kijiwe chake nikimwona kwa mbali nilikuwa nabadili njia ili kumkwepa... Ngeli noma...

Hata mbunge mwalusamba wa CUF mbeya analijua hilo
 
Last edited by a moderator:
hahaaa pole zao chelsea mana tulivyotolewa MAN U walichonga sana......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…