Wapenzi wa Barcelona bana!

Namuona huyo jamaa kama Ostaz kama ndiyo kachemsha sana avue tena Barca hakuna lolote
 
Tatizo sio kiwango bali yale ma-misalaba yaliyopo kwenye nembo ya jezi yao. Huoni kama haijakaa sawa kwa ustadhi?
Hata hivo inawezekana huyo ni mnigeria siunajua wanavaa kanzu sio kwamba ni dini fulan
 
Hakuna kama barca jamani.kama hamuamini fuatilieni barca imetoa wachezaji bora wa dunia wangapi

Juzi wamepigwa tatu na Real Madrid, au unaongelea Barca nyingine?
 
Hakuna timu ambayo haifungwi hata hao madrid wanafungwaga tu

Ndio maana yake, ikishafungwa Barca Real, Madrid wanashangilia...Halafu mi niliquote kauli ya tafaboy ya kusema hakuna kama Barca. Kwasasa kwenye la liga wako nafasi ya tatu, Barca urojo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…