ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,398
Matukio haya nayashuhudia katika jamii, kuna mwanamke yeye ana mpenzi wake ambaye wote wanakunywa pombe, kila siku kupigana night hii ni hatari. Chondechonde wanaume mtaishiwa kufungwa au kupoteza kazi.
Mke hapigwi, mimi mwenyewe shahidi yalinitokea matatizo kisa kumgusa tu banzi mtoto wa kike. Na kwa wanawake acheni mdomo mbaya, kweli hata mnagombana umwambie mwanaume matusi, maneno yanauma utaishia kupigwa ngumi kama Mandonga.
Me binafsi nilishaamua sitakuja kugombana tena na mwanamke na kwamba nilikuwa mjinga sana. Mwanamke anatetewa na asasi nyingi, ni kama wembe usimchezee atakukata.
Tafuta unayempenda, muweke ndani anayekuelewa, ila sasa ndiyo mpunguze sana kufanya sex, inasababisha mzoeane kupita kiasi mpaka mnatukanana.
Si manaa yake mnaweza hata kutoleana Siri za ndani?