Mwandikie SMS kuna hela umemtumia M-PESA kama kazipata, kama hajazipata akujulishe utume tena.habari ndugu zangu!
sorry,hivi time frame ya wapenzi kununiana huwa ni siku ngapi?sababu week mbili sasa zinakatika mwenzangu bado kanuna,me namtafuta daily lakini yeye hapokei simu zangu wala kujubu sms.
au mwanishauri nichukue hatua gani jamani?
Wewe umejiba jukumu la kuwasahihisha watu wanapokosea, acha ukudaSiyo *kujubu... Sema kujibu...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Wewe umejiba jukumu la kuwasahihisha watu wanapokosea, acha ukuda