Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 443
SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika Ikulu.
Hayo yamethibitishwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji wa Kanisa la Pentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo, alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima.
Akizungumzia kuhusu tamko hilo la Ikulu, Askofu Ikongo alisema kuwa wanafanya uchunguzi kumnasa aliyesababisha kutofika majina hayo mezani kwa Rais Kikwete.
Tanzania Daima

Atakuwa alienda kununua samaki feli mda ukapita wa kurejesha majina akakaa kimya.Duh! Jamaa alipotea mlango wa Ikulu....
SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika Ikulu.
Hayo yamethibitishwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji wa Kanisa la Pentekoste Tanzania (PPFT), Askofu Pius Ikongo, alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima.
Akizungumzia kuhusu tamko hilo la Ikulu, Askofu Ikongo alisema kuwa wanafanya uchunguzi kumnasa aliyesababisha kutofika majina hayo mezani kwa Rais Kikwete.
Tanzania Daima
.
Wapentekoste tatizo kwao ni kutotambua aina ya jamii waliyomo. Wenzao baada ya kutambua majina yao yalipelekwa ikulu kilichofuata ni kuwakilisha bahasha ya kaki kwa maofisa wa ikulu ku- push majina yao. Hivyo jitihada za waliopokea bahasha za kaki ni pamoja na kuhakikisha majina ya wasiotoa chochote yanapotea kabla hayajafika meza kuu.
.
sorry for the inconviniences above ,I intended to write the word misplace,Watu mnakosa vitu vya kujadili , aibu kujadili jambo kama hili alafu nanyi mnajiita great thinkers , hakuna hoja ya kujadili hapo naona mnaendekeza umbea tu na chuki juu ya pentecostal churches, kwani kwa akili yenu Ikulu aiwezi ikawa ili mispress hayo majina ?
Mnashangaa nini kama Ikulu imeweza kumpitisha mwenyekiti wa chama na mke wake wakawa wawakilishi wa bunge la katiba ? Ikulu hiyo hiyo imepitishwa majina mawili yanayojirudia kutoka chama hicho hicho cha wafanya kazi
Mnaudhi sana na ni aibu kukurupuka kuegemea upande mmoja bila kufikirisha akili zenu
Sasa hapa tujadili kitu gani wala sielewi
Makanisa ya pentekoste hayana mfumo wa kiutawala kama makanisa ya lutheran au anglican. Wao hawana kiongozi mkuu nchini. mtu yoyote anaweza akajiita askofu au mtume au nabii akajenga kibanda chake na kukiita anavyotaka mfano. Kakobe. Lwakatare. etc. hakuna boss na no kuingiliana sasa ulitegemea nani apeleke majina na ni majina ya nani ? Makanisa haya yanaota kama uyoga Dar na kupiga mziki mnene siku na masaa ambayo sio. Wangekua na central authority wangeweza kuji organise na kufanya vitu kimpangilio.