Wapentekoste Ngara wahamia msituni; wangoja kunyakuliwa

Watapata tabu Sana Nasema watapata tabu Sana wameacha kusoma neno wanamsikiliza mtu mwenye biblia yake kichwan Acha awachukue mateka manyumbu hao Kwan watangoja mnooooooo
 
Wakitoka huko walete mrejesho [emoji23][emoji23]
 
Serikali wawachukue watoto wote chini ya miaka 18.halafu hao wengine wawache huko hadi wanyakuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…