MamaTuli Dada we acha maana nikisema niandike kila kitu watu watamaliza kusoma kesho, yaani ni mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona, huwa atoa hela kwa kusumbuana kwanza utadhani sio mwanae
niliandika namba zangu mbili na ya ofisini moja, jumla namba tatu na ya baba mtu nashaaa mimi kutokupigiwa simu hata moja, mawsiliano sio mazuri,ni mtu wa shari huwezi kujadiliana nae jambo lolote, kiufupi ni haeleweki kabisa ni mtu wa shari mud wote
EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadayeUsimlaumu baba mtoto tuu. Nafikiri na wewe ninabidi u take responsibilities. Kwa nini uliwapa namba ya baba yake badala ya namba yako. Au hauna simu? Huoni kuwa kama ungewapa namba yako wala haya yasingetokea? Kama mlikuwa bado mnaishi wote sawa. Lakini mmetengana sijui miaka 6 iliyopita na bado unatumia namba yake?
Unasema ni "mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona" lakini bado unatumia namba yake ya simu kwneye mambo muhimu kama haya. To me you're both to blame kwa mtoto kukosa shule.
ah,hii stor ya upande mmoja,nikipata maelezo ya upande wa pili,ntashauri kitu!
Unajua Husn hata mie namshangaa sana baba Erick! Hata kama ukweli hatuujui still huyo baba hakupaswa kuhamishia hasira zake kwa mtoto. Hata kama alikuwa hataki/anakwepa kulipa ada alichokifanya ni kibaya sana, bora hata angewapiga kalenda then baadae akamwambia mama mtu kuwa halipi na ajipange yeye kama mama amlipie mwanae kuliko kumpotezea mtoto chance ya kusoma! Yaani majukumu hataki alafu bado anataka kuharibu hadi kwa watoto? ........................
Hahaha, mwisho wa article, baba aliyemzaa Steve Jobs na kumtelekeza bila aibu anasema "They produced the best" "Steve Jobs was a genius". Masikini mwanawe mwenyewe hata kumuona ukubwani hajawahi.
Kutelekeza mtoto kunamfanya binadamu kuwa hana tofauti na mnyama. Hata wanyama wengine hawafanyi hivyo.
EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadaye
hata kama hatuujui undani huyo jibaba hakupaswa kumuharibia mtoto kihivyo. Hebu imagine mmama kahangaika apate shule halafu mtu analeta habari za kizushi. Ugomvi wa wazazi usihamishiwe kwa watoto.
unajua watu hawajadadavua vizuri ndugu zangu mimi simlaumu huyo baba hata kidogo kwani mmejua ni nini kiliwafanya waachane? Acheni jamani mambo mengine tuna-commet tu ila undani hatuujui.
EMT nisingeandika namba yake ningeambiwa nina dharrau kama wachangiaji wengine wanavyosema, nimeandika pia ameamua kukomesha kwa makusudi, ila kwa hili nimejifunza kitu Kaka ninge mara nyingi huwa inakuja baadaye
tobaa! Nipe mguu wa upande wa kulia.
hata nikielezea chanzo utasema unataka kusikia kutoka upande wa pili naomba ushauri kwa hili kwanza lililojitokezalakini ni muhimu sana kujua tatizo au chanzo cha kutengana maana kuna wengine wanatumia watoto kama sehemu ya kunyanyasia wanaume au kuonyesha wanaume wabaya
Ukishaelewa tabia ya mtu ni rahisi ku-deal naye. Ushajua kama huyo ni hopeless, jipange usomeshe watoto wako.
Baba Erick hata kama mama wa mtoto alimkosea vipi huyo baba, still hakuna justification yoyote ya kuhamishia kisirani kwa mtoto-tofauti zenu wazazi zibaki kwenu wenyewe hazihusiani kwa namna yoyote na mustakabali wa mtoto
hata nikielezea chanzo utasema unataka kusikia kutoka upande wa pili naomba ushauri kwa hili kwanza lililojitokeza
asante Kaka bujibuji nyumba zinaficha mambo mengi, kama tungekuwa tunaishi porini kama wanyama sijui ingekuwajepole sana dada yangu, huyo kaka ana pepo la ushoga ndio maana anaukataa u baba kwa mwanao