Kyeli Lula
Member
- Mar 7, 2011
- 65
- 6
Vin D, Baba alikuwa anaelewa kila kitu, hata mtoto alipofaulu nilimweleza, ila nadhani yeye ndio anaamua kumwumiza mwanae kupitia mimi akijua ananikomoa mimi, suala la mtoto kujua alifatilia mwenyewe pale msimbazi na kuambiwa hivyo baada ya kuona mimi namchenga kumwambia ukweli, tatizo hapo sio utoto tunatofautiana uelewaPole sana kwa matatizo dada yangu..
Nyote naona mmechangia kwenye hili tatizo.
kwanza ulitakuwa kumjulisha ex mumeo kuwa umejaza namba zake kwenye form za shule ya mtoto.kwa kufanya hivyo msingefikia hapo.
Pia hata kama mmeachana mlitakiwa kukaa chini na kujipanga namna ya kulea watoto...ina kwa kuendekeza ugomvi wenu mmemuumiza mtoto na kakosa fursa ya kwenda shule...nyie mna akili gani...nadhani utakuwa umemweleza mwanao ukweli ndio maana umesema amejua ana amekosa amani...sio yote twawaeleza watoto..
Fanyeni yote ila watoto wasiwe wahanga na 'utoto' wenu.
Tafakari chukua hatua...
Pole sana kwa matatizo dada yangu..

Vin D, Baba alikuwa anaelewa kila kitu, hata mtoto alipofaulu nilimweleza, ila nadhani yeye ndio anaamua kumwumiza mwanae kupitia mimi akijua ananikomoa mimi, suala la mtoto kujua alifatilia mwenyewe pale msimbazi na kuambiwa hivyo baada ya kuona mimi namchenga kumwambia ukweli, tatizo hapo sio utoto tunatofautiana uelewa
MamaTuli Dada we acha maana nikisema niandike kila kitu watu watamaliza kusoma kesho, yaani ni mwanaume msumbufu, mtesaji mnyanyasaji sijawi kuonaona, huwa atoa hela kwa kusumbuana kwanza utadhani sio mwanaePole sana kwa yaliyokukuta. Ila samahani swali langu kwako ni:
JE HUYO BABA ANAMLEA MTOTO WAKE KWA NAMNA YOYOTE ILE KIASI KWAMBA IKABIDI UWEKE DETAILS ZAKE KWA FORM???
Nimejikuta naandika ukurasa hapa imebidi nifute maana hata hujanijibu hilo swali. Kuna majitu mabichwa maji kweliiii ngoja nisiendelee.
Yaani Kaka yangu wewe acha tu roho imeniuma sana asante kwa kunipa moyodah nimeisikia hii nikabaki kushangaa tu,pole sana dada yangu.mwachie mungu tu madingi wa hivi huwa wanakuja kuipata fresh fainali,sasa hivi haoni faida ya mwanae kwenda kusoma
Kabla sijakupa pole ni heri nikushauri kuwa;
Kwa sasa tulia kabisa yaani achana na wazo la kwamba umfanyeje huyo jamaa. Pata muda wako mzuri wa kumtafutia mahali pengine, sio big issue ki vile, tulia kabisa ukishampatia dogo shule na ukishalipa, mtafute either direct au kwa kupitia ndugu ili adi-declare kwa maandishi kuwa hamtaki huyo mtoto kisha itunze hio document uje umuonyeshe mtoto the moment baba atakapokuja kumhitaji......
Naamini siku moja atakuja kumhitaji tu na ndio hapo na wewe utamkumbusha haya kabla ya kumsamehe, bytheway, umchukulie kama chizi fulani tu na sio ajabu ukute yupo humuhumu ndani.....pole Sissy