marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,110
- 1,952
Itafute GAME OF THRONE IANGILIE Utapunguza uraibu wa simu mpaka hapo itakapoishNataman nianze kufuatilia series ili nisiwe na uraibu na simu
Kiukweli mie nilikua siipendi GOT kabisa nakumbuka Mara ya kwanza kuiona 2014 ckuikubali, lakin marafiki zangu ndio walionishawishi kuwa Ni nzuri hivyo nilipokuja kuingalia Tena kwa kutulia nipende kusema Game of thrones Ni moja ya series nazozipenda ijapokua waliimaliza vibaya.Ni series ya muendelezo wa ile iliyo tangulia ya game of thrones kutoka HBO..
Series ime base na House Tygaryan ambao ni dragons rider na rulers wa Seven Kingdoms za westoras ambao ki asiri wao walitokea the bara tofauti na westoras sehem the inaitwa Verylian...
ni nzuri sana, Utofauti hii imeanza taratibu sana tofauti na GOT ilipoanza tu season one ilikuwa amsha.Hii Season 1 ni kali balaa...
Nimeielewa sanaa
Hasa msaidizi wa Malkia anapo pata malipo ya kumchungulia Malkia baada ya Malkia kumtuma jamaa kazi zake za hatari kwa usiri mkubwa.
Hii na hisi ni kali sanaa na kuna ukatili wa kutisha sanani nzuri sana, Utofauti hii imeanza taratibu sana tofauti na GOT ilipoanza tu season one ilikuwa amsha.
I think hii iko hivyo cause ni watu wazamani sana, so their rules na mambo mengi yalikaa kizamani sana. Walio miliki dragons ndo waliweza kuwa wenye nguvu.Hii na hisi ni kali sanaa na kuna ukatili wa kutisha sana
GOT ni nzuri lakini hii naona itaenda kufuta mapungufu.