beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Morning 2 u mamie, me huwa napenda kuchat kwa kweli yan kama cna bunddle kwenye cm walau najiunga sms 100 maadamu tu niweze kuchat... mwilini mwangu huwa namshumur Mungu kwa umbo langu nalipenda sana tena sana huwa nikiaiangalia hadi huwa najitamani looooolest.. ila na wewe hebu jisemee!!!!!!!!!!!!!!morning guys
Hebu mnambie ni kitu gan wewe mwana jf unakipenda kukifanya au huwa unakifanya mara kwa mara yan kilasiku lazma ukifanye na pia unaeza fanya mara nying sana kwa siku na huwa wakifurahia
Na suala lingne ni jee ni sehemu gan ya mwil wako ambayo ukitazama hivi wasema naaaaam hakika mungu hakukosea mwanakwetu.
Na mie pia niseme? Kwa kuitaja hiyo sehemu ?
Probably niseme pale unapopenda wewe kunako my body ndipo namie nipapendapo!
Kwa kumruhusu Mwanahizaya apite niache nifunike kombe!
Morning 2 u mamie, me huwa napenda kuchat kwa kweli yan kama cna bunddle kwenye cm walau najiunga sms 100 maadamu tu niweze kuchat... mwilini mwangu huwa namshumur Mungu kwa umbo langu nalipenda sana tena sana huwa nikiaiangalia hadi huwa najitamani looooolest.. ila na wewe hebu jisemee!!!!!!!!!!!!!!
beibe nasty yani me cwezi pitisha siku bila kupitia pale Amijei Chips Sinza.
Yani ntaona cku yangu haijakamilika.
I like ma body...!!!
Ya i like ma body jamani yani huwa naweza pitisha hata half hours front the mirror kuusifia uumbaji wa Allah kwangu mimi!!
That's enough!!!

Nata na bit ya mtoa mada! Taja part ya organ ipi ! Not a whole body! Acha kujitoa fahamu!
Utaniuzi ujue? Afu nkununie!
Hapa staki mas'khara kwenye Sredi ya Wife!
Nipo kimgambo wa mnada kiherehere zaidi !
Bila kuangalia tv (tamthilia) naona maisha hayaendi.
Napenda jinsi nilivyo.
Bila kuangalia tv (tamthilia) naona maisha hayaendi.
Napenda jinsi nilivyo.
Hatuzungumzii Tv na video hapa! Ongeza kula matango na matikiti wora, u'strenth Kumbukumbu! Hata wewe wajitoa fahamu?
morning guys
Hebu mnambie ni kitu gan wewe mwana jf unakipenda kukifanya au huwa unakifanya mara kwa mara yan kilasiku lazma ukifanye na pia unaeza fanya mara nying sana kwa siku na huwa wakifurahia
Na suala lingne ni jee ni sehemu gan ya mwil wako ambayo ukitazama hivi wasema naaaaam hakika mungu hakukosea mwanakwetu.
Hatuzungumzii Tv na video hapa! Ongeza kula matango na matikiti wora, u'strenth Kumbukumbu!
Mume bora mume bora haya pigania bava pigania looove
Muache mume wangu bt nae apunguze ukali kwa shemeji zakeUmeona eee? Yaani mie nasema napenda tv ye anasema sio sijui anataka niseme nini?
Muache mume wangu bt nae apunguze ukali kwa shemeji zake