Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,610
- 8,371
Video ilifungiwa na basata.Hizo ni Kiki ili Video ifanye vizuri mkuu? Sasa million 10 ndio ya kulia?
Kuna cha kujifunza hapo japo ni uzizi mixer ushetaniLile dada la kimarekani lenye trako lake, limeonekana kwenye kudos ya harmonize inasemekana walitongozana, jamaa kaanza kula k, lile manzi likacbukua kadi ya benki likatoa milioni kumi, HARMO kushtuka kumfata kiwanja kumkwapua ile kadi nakudai limepiga 10 millions, sasa demu kachukia kaona kama kadhalilishwa kavujisha video harmo akilia machozi kisa lenyewe limesema bado Kuna video zaidi litaa achia watu, weweuweeee letreeeeeee vidreoooo hzrookooooo
Hamna kiki ya hivo hapo ni kumuaibisha harmo nakupoteza ushawishi wake kwenye kampuni alizo ingia nazo mikataba wa ubalozi, unasema kiki video zinaachiwa muda wiwote mkuuHizo ni Kiki ili Video ifanye vizuri mkuu? Sasa million 10 ndio ya kulia?
Hakuna mchongo hapo mambo yamekwenda mlama, subiri uoneHata mimi wa kazuramimba huku kigoma najua kabisa ule ni mchongo video ipate vyuazi
Sahivi lipo zenji huko lazima litafunwe na wahuni dadekiKama amepiga imeisha hiyo ngoja liendelee kutapatapa
Unatafuta kikiHivi hizi mada za huyu kijana wa kiume mnazielewa wakuu?
Amakweli mwanaupinde hawezi kusikia ushauri wowote hadi damu nyingi zimtoke mqunduni.
Hizo tabia alijifunzia WCB, maana huko ndio michezo yaoHakuna mchongo hapo mambo yamekwenda mlama, subiri uone
Subiri uone, kiki zipo ila kwa huyu manzi sio kiki, jamaa alitaka kiweka Kambi ila matumizi yake USIKU mMoja tu milioni kumi we usha ona wapi? Jamaa katonywa kaka hapo utafilisika pundeHizo tabia alijifunzia WCB, maana huko ndio michezo yao
Si kiki bali sitaki kuona vijana wadogo kama wewe mnaharibika. Wazee wenu tuna uchungu ujue.Unatafuta kiki