Wapalestina wameuawa

Wapalestina wameuawa

Status
Not open for further replies.

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
4,507
Reaction score
1,105
Wapalestina kadhaa wameuawa katika usiku mwingine wa mashambulizi makubwa ya Israel kwenye ukanda wa Gaza, yakiwemo dhidi ya kituo cha dharura cha wakimbizi
 
Taifa teule si la kupambana nalo utakufa tu. Hakuna gaidi atakayepambana na Israel akapona.
 
Hamas hakuna rangi wataacha ona watanyukwa mpaka wasau majina yao.
 
Supporters wao wa humu janvini bado sako kwenye lile zoezi LA kuzoea kula mchana baada ya kubadili ratiba ya ulaji.. wakija hapa patachimbika....
CC.Faizafox et al.
 
Walifikiri IDF ni mgambo wa jiji sasa wacha wachezee kichapo cha mbwa mwizi.
 
...ila vijamaa vibishi,vimekula kichapo cha hatari na sasa wanaanza kuwatandika viongozi wao...
 
Hao waarabu wachezee kwingine tu wala siyo Israel. Sisi tunaendelea kuimba huu wimbo unaotuweka pamoja.

"As long as deep in the heart,
The soul of a Jew yearns,
And forward to the East
To Zion, an eye looks
Our hope will not be lost,
The hope of two thousand years,
To be a free nation in our land,
The land of Zion and Jerusalem."

http://www.science.co.il/Israel-Anthem.php

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hivi kweli kuna Mtu mwenye akili timamu anaweza kupambana na Taifa teule la Mungu!.Tumechoka na kwa kweli wapigwe maana hakuna njia nyingine.
 
Hamas sacrifices Gaza for its extremism


Kwa style hii familia zao zitamalizwa. BTW rafiki zake palestina mbona wapo kimya?
 

Attachments

  • 1406730828419.jpg
    1406730828419.jpg
    15.5 KB · Views: 224
  • 1406730850506.jpg
    1406730850506.jpg
    39.4 KB · Views: 194
Taifa teule si la kupambana nalo utakufa tu. Hakuna gaidi atakayepambana na Israel akapona.
Hakuna wajinga kama nyie mnao shangilia watu kuuwawa!

Kwa hiyo huyo Mungu wenu amewateua ili wauwe wapalestina?
 
Hivi kweli kuna Mtu mwenye akili timamu anaweza kupambana na Taifa teule la Mungu!.Tumechoka na kwa kweli wapigwe maana hakuna njia nyingine.
Hivi ni Mungu gani mnaye muongelea anaye furahia watu kuuwawa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom