Naomba msaada maana mimi huwa naishia yale maduka yaliyopo mitaa ya bigborn sasa kama unafaham mitaa mingine naomba msaada nguo za dukani only. NB,nguo quality na sio quantity
Unataka nguo ngapi?? Za jinsia gani?? Unataka za kuuza au zakuvaa tu, kwa maana jumla au rejareja? Unazungumzia quality najua unajua bei, nijibu hapo tufanye biashara
Unataka nguo ngapi?? Za jinsia gani?? Unataka za kuuza au zakuvaa tu, kwa maana jumla au rejareja? Unazungumzia quality najua unajua bei, nijibu hapo tufanye biashara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.