Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,490
- 13,551
Ilianza kwa watendaji wa serikali kuwajibishwa kwa uzembe au kwa kutokufuata kanuni na taratibu za kazi. Suala la kuwawajibisha wafanyakazi wa umma au serikali lilianza kupigiwa kelele na wapinzani kwa muda mrefu japokuwa hatua zilikuwa hazichukiliwi.
Sasa serikali awamu ya 5, ilikuja na mpango moja wapo ni uadilifu, uwajibikaji na nidhamu kazini. Na mpaka sasa kilio cha wapinzani kilisikika na hatimaye baadhi ya maofisa/wafanyakazi wa serikalini/mashirika ya umma wamewajibishwa kwa kukeuka kanuni, taratibu au sheria.
Bahati mbaya suala hili la ukiukwaji wa kanuni/sheria limewakumba hata waheshimiwa wabunge.
Nadhani ili kujijengea heshima hawa wabunge, wanapaswa kuomba msamaha kwa wananchi na bunge kwa ujumla