mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,404
- 3,420
Kwa sasa uoga umezidi sana tofauti na kipindi hicho cha wapigania uhuru.kwa sasa ni kusifu tuUoga upo toka enzi hizo bna.
Na mifumo imesukwa kututengeneza hivyo.
Tuma clip zinazoonesha wewe ukigoma au kuandamana.
Yaani kipindi kile hakukua na uoga??Kwa sasa uoga umezidi sana tofauti na kipindi hicho cha wapigania uhuru.kwa sasa ni kusifu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
VIJANA WAJINGA, WAPENDA NGONO, WALEVI , WARAHIBU WA MADAWA YA KULEVYA , VIJANA WASIO NA MAARIFA , HEKIMA NA AKILI, VIJANA WASIO JUA HISTORIA YA TAIFA HILI LIMETOKA WAPI NA LINAKWENDA WAPI, VIJANA WASIO NA ELIMU , VIJANA WASIOTAMBUA HAKI ZAO NI ZIPI, VIJANA MALAYA MALAYA, VIJANA MACHAWA WA VIONGOZI WAPUMBAVU, VIJANA WALAMBA MAKALIO YA VIONGOZI WAPUMBAVU, VIJANA WAPUMBAVU AINA HII YA VIJANA IMEJAZANA SANA KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA KWA HIYO USITEGEMEE VIJANA WA NAMNA HII KUFANYA UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LETU LA TANZANIA HAWA VIJANA WA NAMNA HII WANAHITAJIKA ZAIDI KUWANYIWA UKOMBOZI WA KIFIKRA KABLA YA YOTE.Vijana wa sasa wamekuwa waoga sana wa kudai haki zao tofauti na kizazi kile cha wapigania uhuru kama kina Nyerere, Obote Kenyatta Kamuzu Banda, Mugabe nk.walitetea haki kwa nguvu zao zote waziwazi hadi wakawatoa wakoloni wakarudi makwao.
Cha ajabu hiki kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 70s hadi90s(nguvu kazi) ni kizazi cha waoga sana.hawajali hata wakinyimwa haki zao.Mfano tozo za simu tuliahidiwa ifanyike kwa mwaka mmoja lakini imekuwa endelevu na hakuna hata mmoja wa kuhoji
Mikataba ya kilaghai inaumiza wananchi.Mfano gesi ya mtwara tuliambiwa ingepunguza bei ya umeme nchini lakini imekuwa kinyume chake.Hivyo hivyo na huu mradi wa uchakataji na usindikaji wa gesi (LNG)na wenyewe tutapigwa tu.Mkataba wa kujadiliana na watu wawili hapo si ndo kupigwa kwenyewe.
Pamoja na hivyo, hamna hata mmoja amehoji.wasaidizi ni kusifu tu.uoga umezidi sana tofauti na wakina nyerere walipinga hadharani hii mikataba ya kilaghai pamoja na kodi za kihuni kama hizi. watawala waliojifanya wagumu cha moto walikiona.hawakuogopa cha policcm wa enzi hizo wala chombo chochote cha dola.
Kwa sasa huduma zote za umma ukianzia hospitali,shule nk.zote niza kusuasua.watawala wao hawaziboreshi kwa kuwa haziwahusu.Wao hutumia kodi zetu kwenda nje pamoja na watoto wao kupata huduma hata ambazo hazisitahili(malaria kwenda kutibiwa ulaya).yote haya yamesababishwa na aina ya jamii yetu kuwa ya waoga sana tofauti na jamii ya enzi za nyerere
Wewe mdau karibu tushauliane tufanye nini ili tuwe na watu jasiri na wazalendo kama wa enzi za wapigania uhuru?Maana kwa kizazi cha sasa ni cha kusifia tu hata pale pasiposifika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aandamane apigwe hadi afanane na maitiTuma clip zinazoonesha wewe ukigoma au kuandamana.
Nyerere alitumia nguvu vipi kudai uhuru?
Exactly..sikuwahi kusikia Nyerere kachezea kichapo toka kwa jeshi la polisi la muingereza.
..pia sikuwahi kusikia kama wakati wa ukoloni wa Muingereza, wakati wa kudai uhuru, kulikuwa na kundi la "wasiojulikana" linaloteka na kutesa wanaharakati wa Tanu.
Shida inaanziaga hapa na jeshi la polisi liko tayari kufanya uhuni huo wa kuumiza raia kwa sababu yeyote ile na kigezo common watasingizia mnalengo la kuleta taharuki...sikuwahi kusikia Nyerere kachezea kichapo toka kwa jeshi la polisi la muingereza.
..pia sikuwahi kusikia kama wakati wa ukoloni wa Muingereza, wakati wa kudai uhuru, kulikuwa na kundi la "wasiojulikana" linaloteka na kutesa wanaharakati wa Tanu.