Ahsante bwana mchungaji kwa kunena ukweli.
Haya sasa, atakuja kusema kuna wapiga dili wameficha chakula ili kuihujumu serikali yake,na kuloga mvua isinyeshe ya kutosha.Mi nasema chakula cha msaada atatoa tu,atake asitake kama pesa anatoa mfukoni kwake sawa,lakini kama walitumia kodi zetu ATAACHIA TU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.