Wao wanacheeeka, JF tunatukaniana mpaka Wazazi!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Ukikuta hapa JF watu wakitoleana mitusi kuwatetea Wanasiasa wakati wala hawawajui, mpaka wengine wanakufuru kutukaniana Wazazi, lkn wao Wanasiasa easy tu wanaelewana sana tuu!

Waziri Mkuu wetu akiteta na kufurahia jambo na Mwanachadema Masha ambaye ndiye aliyemuingiza na kumpa Uongozi wa TLS Tundu Lisu!
PMO_6170.JPG

Waziri Mkuu wetu akiwa na Spika pmj na Wenje, chadema!
PMO_6216.JPG

Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!
 
Ukikuta hapa JF watu wakitoleana mitusi kuwatetea Wanasiasa wakati wala hawawajui, mpaka wengine wanakufuru kutukaniana Wazazi, lkn wao Wanasiasa easy tu wanaelewana sana tuu!

Wazirir Mkuu wetu akiteta na kufurahia jambo na Mwanachadema Masha ambaye ndiye alimuingiza na kumpa Uongozi wa TLS Tundu Lisu!
PMO_6170.JPG

Waziri Mkuu wetu akiwa na Spika pmj na Wenje Mbunge wa chadema!
PMO_6216.JPG

Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!

Sasa ulitaka afanye kama Mwenyekiti wako au kama Mkuu wa Mkoa Wa Arusha?

Mwenzenu amelelewa kama muungwana mnaiga hata upumbavu shauri yenu
 
Kwa kawaida mtu akikosa facts ndiyo anageukia matusi.

Humu nani hua anakosa facts? Na haoni aibu kuendelea kubishana na facts.
 
Ukikuta hapa JF watu wakitoleana mitusi kuwatetea Wanasiasa wakati wala hawawajui, mpaka wengine wanakufuru kutukaniana Wazazi, lkn wao Wanasiasa easy tu wanaelewana sana tuu!

Wazirir Mkuu wetu akiteta na kufurahia jambo na Mwanachadema Masha ambaye ndiye alimuingiza na kumpa Uongozi wa TLS Tundu Lisu!
PMO_6170.JPG

Waziri Mkuu wetu akiwa na Spika pmj na Wenje Mbunge wa chadema!
PMO_6216.JPG

Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!
Ndiyo mjijue nyie vibaraka wa lumumba kuwa hamtumii akili kuwatukana wenye msimamo tofauti na ccm
 
Ukikuta hapa JF watu wakitoleana mitusi kuwatetea Wanasiasa wakati wala hawawajui, mpaka wengine wanakufuru kutukaniana Wazazi, lkn wao Wanasiasa easy tu wanaelewana sana tuu!

Wazirir Mkuu wetu akiteta na kufurahia jambo na Mwanachadema Masha ambaye ndiye alimuingiza na kumpa Uongozi wa TLS Tundu Lisu!
PMO_6170.JPG

Waziri Mkuu wetu akiwa na Spika pmj na Wenje Mbunge wa chadema!
PMO_6216.JPG

Picha kwa hisani ya Blogu ya Michuzi!

Ninaposemaga nchi ya wajinga hii sikoseagi
 
Umepotoka!

Politicians seem to be friendly towards each other simply because of circumstances that surround them but when those circumstances change,their friendship changes too-Mwanafalsa wa mtandaoni.

In other words,relationship between politicians at certain circumstances, is simply a function of those circumstances that surround them and not that of actual feelings towards each other.
 
Siasa siyo ugomvi, mkeo/mwanao/rafikiyo/nduguyo aweza kuwa chama tofati na wewe.

Tuache ushamba wa Gambo na mwenyekiti wenu kudhani siasa ni ugomvi
 
Nje ya maisha ya Siasa nao ni binadamu wa kawaida tu mbona? itikadi ndizo zinawatenganisha
 
DadaRosa wa ajabu sana, tabia hiyo wewe ndio unaongoza halafu hapa unaleta maigizo. Ni sawa na mtoa shuzi kuwa wakwanza kulalamika harufu
 
Mjue Sasa siasa sio matusi ni hoja ..........shenzi wote watoa povu chiii deeee maaaa
 
Wanaotukana ni wale hawana mbele wa nyuma, maisha yao yanawapigaaaa kiaina wajuayo wao.
 
Back
Top Bottom