pakamwam
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 516
- 656
habari
nimeanzisha huu uzi mahsusi kabisa kwa ajili ya wale wanyonge walionyongeka
kunyongeaka ni nini? kwa tafsiri isiyo rasmi ni kuwa mnyonge sababu ya haki zako kupindishwa kwa namna fulani.
hapa utafaniiwaje.
hapa utapewa ushauri wa namna ya kwenda na jambo lako kwa uwazi na wajumbe waliokuwa wanyonge wametoka au ambao wana uzoefu namna ya kutoka
swla la msingi ni kubadilishana uzoefu na kushirikiana kimawazo ila asifikie mtu akakata tamaa. wapo wasomi wanakosa mwelekeo labda sababu ya ushauri kidogo tu. kwenye uzi huu unaweza pata ushauri na uzoefu.
karibuni