WANYAMWEZI wanajua mahaba na ku handle kuliko wote Tanzania....!

mkayala

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
555
72
Inasemekana kabila la Wanyamwez toka TABORA wanajua mapenz,ku care,ku handle na uvumilivu kuliko makabila yote.WEWE UNASEMAJE?
 
Japo natokea TBR ila Tanga kiboko, maji ya kuoga yanaungwa viungo.
 
Hahaa nimeipenda sana hii mada,kuna uvumi ulikuwepo miaka ya nyuma kusema kuwa wa dada wa tabora wanapenda sana limbwata na mwanaume akikamatwa na hilo limbwata ujue amekwisha ataishia kuwa kama shamba boy kumbe ndio mume halisi!!wanachukua akili yoote,wanakuachia kupenda hadi ujinga!! Je ni kwelii??
 
Inasemekana kabila la Wanyamwez toka TABORA wanajua mapenz,ku care,ku handle na uvumilivu kuliko makabila yote.WEWE UNASEMAJE?

Siyo kila unachokisikia unakipost humu, topic kama hizi huwa hazina ukweli wowote. inamaana hao ulowasikia wameshatembea na makabila yote TZ?! ......Upuuuzi.
 
Limbwata naskia Tanga zaidi,girigiran,mdarasin,hiriki,kitunguu saumu na KALIMBWATA kidogo....mmmh chakula kitaaam!
 
Siyo kila unachokisikia unakipost humu, topic kama hizi huwa hazina ukweli wowote. inamaana hao ulowasikia wameshatembea na makabila yote TZ?! ......Upuuuzi.

Tena Maproso ni jina linaloashiria ungetupa jibu zuri,tuambie bas kwa nin umependa hilo jina?
 
Najua zipo mkuu, ngoma kama,Maswezi,manyanga,Uyeye,Bagika,Bagalu,bazuba,Radu na nyinginezo nyingi,wewe ulikuwa unazungumzia zipi kiongozi?....

Hahaaa,umesahau ugoyangi na matanda,any ways nilikua namaanisha NYAMBIZI a.k.a ukimwi!
 
dah!! thanks for the info mwana mie kumbe ni kabila linalojua kutoa dozi sawa sawa kunako 6 by 6. lakini sii mzigo mzito mpe mnyamwezi lol
 
mambo ya makabila dalili za ubaguzi lo tumuenzi dad taifa sisi wote ni sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…