WANYAMWEZI wanajua mahaba na ku handle kuliko wote Tanzania....!

Mke hatafutwi kwa kabila bana..
Katika zama hzi za utandawazi kila kabila ni super..
Tumeona hata wamasai wanajua mahaba..
 
mademu wa kinyamwezinomaaa,mim nilikuwaga nae kipind npo taborboys acha tu poketimane namuhonga mtoto wa kinyamwezi dah!
 
nafikiri ilikuwa zaman, bibi yangu kwa upande wa mama ni mnyamwez, kweli alikuwa msafi, mnyenyekevu, haropoki hovyo, mtaalam haswa wa mapish naalikuwa mstaarab, mkarim, hana uchoyo na mpole sana mpaka anakufa, nlikuwa nam admire sana na ALINIFANYA NIAMIN WANYAMWEZ WAPO HVO,
Ila baada ya kukutana na kufahamiana na mama hy ambae tuna undg wa mbali na mme wake, nimeaminkwenye msafara wa mamba kenge hawakosekan, kwanza sio mkarim huyu mama, mchoyo, mropokaji na anapenda ugomvi ingawa anajitia mlokole, hawapend ndg wa mme wake, yaan kwa kifup hana sifa nzur.........ni mnyamwez typical huyu mama...............
 
Hii ina ukweli fulani maana wengi walioowa dada zangu wa Kinyamwezi husifia sana.

Wanyamwezi tunafunzwa sana kutunza Wanaume na Wanaume kutunza wake zetu..

Mambo ya jando ya unyago (ukiacha tohara ya Wanawake) huwapa shule nzuri sana.

Wengi wa Wanawake wamekuzwa ili kuwatunza na kuwaheshimu Waume zao.

Yaani tangu azaliwe, anaambiwa jinsi MUME alivyo muhimu.
 
Naona wengine wanadanganyana hapa.....asilimia kubwa ya wanawake wa kinyamwezi ni wavivu na hupenda umbea tu.....mind you ukioa mnyamwezi jiandae kutunza familia yake.
 
Wakurya ni jeshi na ufugaji wa kuku lol

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom