Wanyamwezi Mlihooo....

Wanyamwezi Mlihooo....

Kwa kuwa lugha zote hizo ni za Kibantu.
Nadhani pia kuna uhusiano wa karibu zaidi, maana Wamanyema na makabila mengine ya mashariki mwa DRC ama wameishi Tabora kwa karne na karne au asili yao ni Tabora. Nakifahamu Kilingala kwa kiasi fulani, maneno mengi ni kama unaongea Kinyamwezi. Nadhani ndiyo maana hata Tabora inaitwa Mboka (kumbuka hili ni neno la Kilingala linamaanisha Mji sambamba na neno jingine la engumba)...
 
Kasie kumbe wewe ni mama yangu mdogo, mama yangu alikuwa Mnyamwezi wa kutoka Ndala Tabora. Nimecheza sana Kamnyangala (kila nilipomtembelea babu mzaa mama wakati wa likizo) na zile nyimbo za harusi kama: Muhala wane, mwanike-oyo kubhela kabhosho kalenganelile, loshiko lweene tokwibhona okomnada Mwanangeleja kabhoshoo kalenganelile...

Dah, kweli Kinyamwezi (siyo kile cha Majuu-USA) kitamu...

Oohh mwanangu hujamboo.... hongera sana kuwa na chembechembe za kinyamwezi.
 
Mzee wangu chief mkwawa alichukua chombo mtoto mrembo toka kwa chief isike na kumleta kalenga pale kwa mashujaaa
 
Tulihoo mayoo!
Aisee Tabora raha sana, Mi nimetoka kwetu kusini nmekuja Unyamwezini, asiwaambie mtu jamani Tabora kuna raha iliyofichika, kuna watoto wa kinyamwezi na wa kiarabu huku hatari(mzee baba najitafunia tu).Mnao sema 'Tangaraha' huko hamna kitu njoeni Tabora mjionee.
 
Mzee wangu chief mkwawa alichukua chombo mtoto mrembo toka kwa chief isike na kumleta kalenga pale kwa mashujaaa

Hahahahhaaaa, na wanyamwezi wanavyojua kukarimu hasa kwenye misosi, hadi watu wanaishia kusema th walozi kuumbe....asili ya asali na karanga, matobholwa, uzito wa mzigo unaongezeka tuu halafu mtu akionja atajikuta anarudisha tuu kidole kuonja tena eeheheheheheheee

Maufundi hoooyeeeeeee

Wanyamwezi hoooyeeeeeee

Kasie Matata.
 
Tulihoo mayoo!
Aisee Tabora raha sana, Mi nimetoka kwetu kusini nmekuja Unyamwezini, asiwaambie mtu jamani Tabora kuna raha iliyofichika, kuna watoto wa kinyamwezi na wa kiarabu huku hatari(mzee baba najitafunia tu).Mnao sema 'Tangaraha' huko hamna kitu njoeni Tabora mjionee.

Hehehehehehee usipoangalia utastukia umelowea kwa wanyamwezi.
 
Back
Top Bottom