Wanyamwezi Mlihooo....

Wanyamwezi Mlihooo....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,801
Reaction score
43,187
Kamnyangala Kane mayuu, kamnyangala Kane.....

Wa Isike mlihoo, wa Sikonge mlihoo, wana mayuuu mliiihoooo...

Ndembele wanyamwezi wotee
Yaayuuuyiiii....

Usipoweza kuzungusha mzigo mzito (kwa wanyamwezi wake kwa waume) basi zungusha mabega kwa madaha...

Yaayuuiiiii, wajamenii, kinyamwezi kitamuu sio kitamuuu....??!💋

Wanasemaga Tanga Raha ila Tabora ni raha zaidi, wapi kwingine utapata asali na karanga.....😋

Waweja Kulumba, yashiyagaah 🤪😜

Kasinde Kolombaa.
 
Mnyantuzu nimekuelewa kama Mnyamwezi vile!...😀
 
Wee yaani nimeimba kwa sauti kubwa
Nimemiss nyumbani jamani na msimu wa mpukuswa na mantonga ntakuja hahaha

Safari njema ukienda, nyimbo tamu kama ugali na nswalu iliyoungwa na karanga Heheheheheheh, haichoshi kuimba wala kucheza.
 
Yaani mi naona wewe huipati au hujaifikia raha nnayoipata mie heheheh.

Najivunia kuwa mnyamwezi.
Kasie kumbe wewe ni mama yangu mdogo, mama yangu alikuwa Mnyamwezi wa kutoka Ndala Tabora. Nimecheza sana Kamnyangala (kila nilipomtembelea babu mzaa mama wakati wa likizo) na zile nyimbo za harusi kama: Muhala wane, mwanike-oyo kubhela kabhosho kalenganelile, loshiko lweene tokwibhona okomnada Mwanangeleja kabhoshoo kalenganelile...

Dah, kweli Kinyamwezi (siyo kile cha Majuu-USA) kitamu...
 
Back
Top Bottom