#COVID19 Wanyama wanaofugwa wanaweza kuambukizwa Virusi vya Corona

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
20210305_162749_0000.png


Unashauriwa kuwalinda wanyama kama vile unavyowalinda binadamu

Usiruhusu wanyama kushikwa na watu nje ya kaya

Ikiwa mtu ndani ya nyumba anaugua, mtenge mtu huyo na wanyama kama utavyomtenga na watu

Ikiwa mtu anayehudumia wanyama amepata maambukizi ya virusi vya #Corona ni vyema akampa majukumu hayo mtu mwingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom