KIPUMPUSWA Senior Member Joined Jul 16, 2011 Posts 106 Reaction score 35 Nov 6, 2011 #1 Kuwapitishia kia haiwezekani kwani wadanganyika walishastuka.Ni juu yako utatumia usafiri na njia gani. Attachments p19.jpg 51.7 KB · Views: 226
Kuwapitishia kia haiwezekani kwani wadanganyika walishastuka.Ni juu yako utatumia usafiri na njia gani.
ikizu JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 431 Reaction score 56 Nov 6, 2011 #2 waweza kukodi jeshi la al shabaab wakakupa eskoti mpaka somaria and then unakokwenda
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,655 Nov 6, 2011 #3 KIPUMPUSWA said: Kuwapitishia kia haiwezekani kwani wadanganyika walishastuka.Ni juu yako utatumia usafiri na njia gani. Click to expand... ikulu kam sehemu ya maonyesho vile. Tunarudia enzi za Mwinyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
KIPUMPUSWA said: Kuwapitishia kia haiwezekani kwani wadanganyika walishastuka.Ni juu yako utatumia usafiri na njia gani. Click to expand... ikulu kam sehemu ya maonyesho vile. Tunarudia enzi za Mwinyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,587 Nov 6, 2011 #4 ndyoko said: ikulu kam sehemu ya maonyesho vile. Tunarudia enzi za Mwinyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Click to expand... mshikaji kapewa sample kwanza, mzigo wenyewe utafuata soon.
ndyoko said: ikulu kam sehemu ya maonyesho vile. Tunarudia enzi za Mwinyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Click to expand... mshikaji kapewa sample kwanza, mzigo wenyewe utafuata soon.
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Nov 6, 2011 #5 na maisha haya watu walivo wezi. Inaweza ikawa kweli.
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 6, 2011 #6 valid statement said: na maisha haya watu walivo wezi. Inaweza ikawa kweli. Click to expand... Inawezekana maana this country bwana!
valid statement said: na maisha haya watu walivo wezi. Inaweza ikawa kweli. Click to expand... Inawezekana maana this country bwana!
N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Nov 7, 2011 #7 chatumkali said: Inawezekana maana this country bwana! Click to expand... Maadam dili ipo, hakuna lisilowezekana!! Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa WAMA ni coincidence au strategy ya kupeleka hela zetu za pension kule kwa mama?
chatumkali said: Inawezekana maana this country bwana! Click to expand... Maadam dili ipo, hakuna lisilowezekana!! Ramadhan Dau kuwa Mwenyekiti wa WAMA ni coincidence au strategy ya kupeleka hela zetu za pension kule kwa mama?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,880 Reaction score 13,872 Nov 7, 2011 #8 Teh teh teh.............
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 305 Reaction score 48 Nov 7, 2011 #9 Jamaa naona anaonyesha sample
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Nov 7, 2011 #10 heading ya thread inaendana na picha, kama kweli vile.