Wanyama pori wametushinda?

Wanyama pori wametushinda?

makamaka

Member
Joined
Dec 1, 2011
Posts
55
Reaction score
28
Nashauri Serikali kupitia Bunge kuita Bunge la dharula kujadili suala la tembo na Simba kuvamia makazi ya watu.

Hakuna siku nafuatilia habari nikamiss Habari hii. Kanda zetu zimeshindwa, wanyama wamezaliana wengi Sana kwa kipindi cha miaka Saba.

Sasa Serikali itafute suluhusho la kudumu.
 
Inaonekana bado hujajua chanzo cha tatizo. Ukiona wanyama wamekimbilia makazi ya binadamu ujue kuwa binadamu ndiye kaanza kwenda kuvuruga mipangilio ya wanyama.

Tumevuruga kuanzia tulikochimba mabwawa ya umeme, kujenga SGR, bomba la mafuta nk. Sasa hawa wanyama si watapotea njia?
 
Ujue watu ndo wanaenda kwenye makazi na wanyama na ndo maana serikali inafuta mapori tengefu na kuwaachia, sasa wenye mapori wakijisikia kiu au njaa lazima waende maana mmejipeleka
 
Inaonekana bado hujajua chanzo cha tatizo. Ukiona wanyama wamekimbilia makazi ya binadamu ujue kuwa binadamu ndiye kaanza kwenda kuvuruga mipangilio ya wanyama.

Tumevuruga kuanzia tulikochimba mabwawa ya umeme, kujenga SGR, bomba la mafuta nk. Sasa hawa wanyama si watapotea njia?
Umeutendea haki uzi hii,mtoa hoja ni other way around!ni binadamu ndio kavamia makazi ya wanyama pori, ila suluhisho lipo ni kutumia akili sio mabavu, mtoa hoja tembelea pale Kasane, Botswana 🇧🇼 uone jinsi binadamu, domesticated animals na wild animals wanavyoishi pamoja kwa amani,hakuna vurugu zozote ,kila mmoja anajua line yake!
 
Inaonekana bado hujajua chanzo cha tatizo. Ukiona wanyama wamekimbilia makazi ya binadamu ujue kuwa binadamu ndiye kaanza kwenda kuvuruga mipangilio ya wanyama.

Tumevuruga kuanzia tulikochimba mabwawa ya umeme, kujenga SGR, bomba la mafuta nk. Sasa hawa wanyama si watapotea njia?
Binadam anajiona yeye ndiyo Ana haki ya kuishi duniani

Ova
 
Serikali ishughulikie Simba.
Hili la tembo nadhani mzee wa tembo amekusikia na analifanyia kazi.
 
Nashauri Serikali kupitia Bunge kuita Bunge la dharula kujadili suala la tembo na Simba kuvamia makazi ya watu.

Hakuna siku nafuatilia habari nikamiss Habari hii. Kanda zetu zimeshindwa, wanyama wamezaliana wengi Sana kwa kipindi cha miaka Saba.

Sasa Serikali itafute suluhusho la kudumu.
Serikali itoe ruksa tu kwa wananchi wapambane nao kidogo nina imani watapungua na hawatosumbua kwenye makazi yetu
 
Simba yupi diamond platnumz au...
na tembo yupi harmonize au bado sijaelewa mkuu 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom