Wanyama/ Ndege na vituko vyao, enjoy

Wanyama/ Ndege na vituko vyao, enjoy

Ana mpeti peti jamani
FB_IMG_1573544024507.jpeg
 
Hiyo ya kuku na paka zimenifuraisha sana 🤣🤣😂wanyama basi tu nao wana vituko vyao! Mfano hapa home huwa napenda sana kufatilia mienendo, matendo ya paka maana naona burudani, akiwa amelala huwa napenda namsumbua sumbua basi anakasirika huyo anaondoka🙉
 
Paka huwa na vituko sana ukiwafuatilia
 
imgres.jpg

Pale Huamini Yanga katoboaje jana? AZAM federation cup 😎
 
Back
Top Bottom