Godfrey Jason
Member
- Apr 23, 2018
- 11
- 0
Acha uongo mkuu. Kama kariakoo ina uzwa 2500 unategemea bei gani huku mikoaniKwa morogoro kilo moja sh 7000
Invisible katika ubora wako siku nyingi sijakuona robot ukiwa kazini,tunashkru kwa kuirudisha hewani faraja yetu
Inategemea majira mkuuAcha uongo mkuu. Kama kariakoo ina uzwa 2500 unategemea bei gani huku mikoani
Mkuu salama.Habari zenu?
Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika.
Shukrani.
Asante Mkuu kwa updateKwa morogoro kilo moja sh 7000
Mimi nipo Mbeya na nimelima maeneo ya TukuyuGodfey Jason uko mkoa gani?
Ahahahaaaaaa. Apa naweza nkaamua kula mwenyewe🙂Mia7 mpaka 1500
Shukrani kwa update Mkuu. Tangawizi yangu bado iko shambani, matarajio yangu kuitoa kwa ajili ya kuuza mwezi wa sita mwishoni au wa saba. Nimelima kekari kama 2 na nusu, na nategemea kuvuna mpaka tani 10 na kuendelea.Mkuu salama.
Tangawizi katika soko la Dunia ni kuanzia Dola 3500 mpaka $7000 kwa kilo 1000 (one tone)
Je unazo kiasi gani??View attachment 759795

hiyo mbona kubwa...huko songea ni mbaya zaidiAhahahaaaaaa. Apa naweza nkaamua kula mwenyewe🙂
Ulifanikiwa kuuza tangawiz yakoMimi nipo Mbeya na nimelima maeneo ya Tukuyu
Mkuu ulikamilisha mchakato wa kuuza tangawizi??Habari zenu?
Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika.
Shukrani.
Bado Chief, Vipi nipe mchakato!Ulifanikiwa kuuza tangawiz yako
Hapana Boss, bado sijaitoa shambani. Nipe habariMkuu ulikamilisha mchakato wa kuuza tangawizi??
umepotoshaKwa morogoro kilo moja sh 7000