Wanunuzi wa Pesa Mbovu na Dola

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
Naona hii biashara inakua kwa kasi.

Bado sijapata kuielewa vizuri, pesa mbovu wanaunua ili iweje?

Na hawa wanunuzi wa dola mitaani, kwani si kuna Bureau de change?
 
Pesa mbovu wakishazikusanya kwa wingi wanaenda kubadilisha B.O.T na kupewa mpya sasa kwa kuwa wanazinunua chini ya thamani halisi ndipo na wao upata faida,unajua mtu akiwa na mia tano au buku imechanika kwenda kubadili benki kuu anaona tabu kwahiyo anaona bora apate nusu hasara uswahilini
 
Thanks kwa Ufafanuzi
 
Back
Top Bottom