Wanunuzi wa matikitimaji

Wanunuzi wa matikitimaji

oriflametz

Member
Joined
May 31, 2016
Posts
47
Reaction score
12
Habari wana jf
Natarajia kuvuna matikiti weekend hii.. Shamba lipo mlandizi-kitomondo.. Anaefaham wapi naweza pata wanunuz wa jumla wa matikiti naomba anijuze hapa
 
Habari wana jf
Natarajia kuvuna matikiti weekend hii.. Shamba lipo mlandizi-kitomondo.. Anaefaham wapi naweza pata wanunuz wa jumla wa matikiti naomba anijuze hapa au tuwasiliane 0652140160...

Pia nina magunia kadhaa ya mkaa nauza 70,000.. Karibuni...

Jaribu kwenda sokoni buguruni utakutana na madalali watakuonyesha wanunuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom