Wanunuzi wa asali

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
natafuta wanunuzi wa asali hapa nchini na nje ya nchi,nina lita 500 za asali original ambayo haijachujwa.
 
natafuta wanunuzi wa asali hapa nchini na nje ya nchi,nina lita 500 za asali original ambayo haijachujwa.

Kuna jamaa wanaitwa 'Honey King'. Hawa wako maeneo ya Visiga karibu na Mlandizi.
Wana kiwanda cha kusindika asali.
Sikui sera zao, ila watafute uone wanasemaje.

Home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…