Hahaha hahaha hahahaNitanena kwa lugha halafu utaweweseka, utanitimuaaaa
Nitajua vile nitafanya hadi niandike, vitaandikika tyu. Damu inaenda mbio tu hapaHahaha hahaha hahaha
Hivi mtu akinena kwa lugha vinaandikika kweelii??!!
Nitajua vile nitafanya hadi niandike, vitaandikika tyu. Damu inaenda mbio tu hapa
Ni kama na wewe huyo dada humpendi eti, maana isije kuwa unamsingizia ni rahisi mtu kusema anampenda mtu ila uthibitisho huja kwa matendo na inawezekana kwa maneno unatuambia huyo dada hakupendi ila kimatendo anakupenda, kama mpaka unakubali kuwa baada ya kuoa ndo biashara zikakuwa doh....!Nampenda sana na kuhusu uchumi kuyumba ni swala pana.nimefahamiana na mashemeji kabla ya kumuoa kutokana na biashara ila baada ya kumuoa dada yao boom my business grew..
Kwanini hana pa kwenda?Hana kwao??Hajiamini?Hana kazi ni tegemezi?Anaona aibu??Pole mkuu..you are married to wrong person..na uyaonayo ndo matokeo ya ndoa za kupangwa.hana hisia nawe,hakufurahii..yani mpo tu mradi kuwafurahisha wazazi..
Huu ni utumwa..
Mapenzi ni hisia,ni urafiki.
Blame it on your parents..
Ndugu yangu alifanya maamuzi ya kuolewa miaka kadhaa ulopita..mume alikua anapretend..lakini alivoingia ndani rasmi alikiona cha moto..mpaka sasa anasuffer na hana pa kwenda.
Ndoa mie zinisubiri tu,baadae sana!
Kwanini hana pa kwenda?Hana kwao??Hajiamini?Hana kazi ni tegemezi?Anaona aibu??
Ndoa ni nzuri lakini ikigeuka mateso na imeshindikana my solve kwa namna zote pack your things and leave.Life is too sweet and too short to be in a place where I ain't happy.
Otherwise atajifia bure aongeze tu takwimu kwa watu walofia ndoani kwa kukosa furaha.
Thanks mkuuKama unaogopa kulipeleka hili mbele ya kaka zake kwa kuwahofia watakuonaje then probably there is something wrong between you/both.........if not all of you.
Kwenda nje nikusolve tatizo kwa muda huu wa sasa ila jiangalie nje utafute mwanamke ukampime akili kabisa la sivyo atakupiga matukio mpaka umrejee mkeo umulize mbona mko hivi.......................
Ni rahisi kusema hivo ukiwa nje ya ndoa,ukishaoa kuna variables nyingi tu ambazo huwezi ukazichukulia maamuzi magumu kama hayo..anyway thanks mamaaKwanini hana pa kwenda?Hana kwao??Hajiamini?Hana kazi ni tegemezi?Anaona aibu??
Ndoa ni nzuri lakini ikigeuka mateso na imeshindikana my solve kwa namna zote pack your things and leave.Life is too sweet and too short to be in a place where I ain't happy.
Otherwise atajifia bure aongeze tu takwimu kwa watu walofia ndoani kwa kukosa furaha.
What if I'm talking from experience?Ni rahisi kusema hivo ukiwa nje ya ndoa,ukishaoa kuna variables nyingi tu ambazo huwezi ukazichukulia maamuzi magumu kama hayo..anyway thanks mamaa
True,huyu inabidi atulizane au kama anavosema yeye muislam aoe mke wa piliNje kuna risk za afya na magonjwa na utapeli mara 10 zaidi so wanaokushauri muachane kabisa sio wajinga wameona mbali sana.
Athari za mambo ya nje ya ndoa ni za kudumu hazionekani sasa ila zitakuadhibu na ukishapata watoto wa nje labda uweze kumudu kutogombanisha familia watoto huwaga wanaathirikaga sana japo sababu tunataka furahisha nafsi zetu nakupooza tamaa zetu harakahara basi mambo yanakuwa hivyo hivyo tu.
.Ni rahisi kusema hivo ukiwa nje ya ndoa,ukishaoa kuna variables nyingi tu ambazo huwezi ukazichukulia maamuzi magumu kama hayo..anyway thanks mamaa
Tupe mrejesho.My marriage is a mess,its painfull when someone you care and love doesnt appreciate anything you do to her.
Bro we acha tu,tatizo family yake na yangu zinajuana,mimi na kaka wa huyo mwanamke biashara zetu zinaendana,zipo eneo moja na tunashirikiana.
Hata nikiamua kumuacha lazma itani affect kiana na watu ambao nashirikiana nao kibiashara.