Wanted: Dead or Alive!!!

yaani Marekani imekosa kazi, imejawa hofu na kushindwa na Irani kiteknolojia kiasi hicho? dah! Dunia inaenda kwa kasi sana aise πŸ’
 
Zee la uharo.

Yahudi la kuchovya kutoka kimanzichana.

Mabwana zako si wamesema wameharibu uwezo wa kijeshi wa Iran na wamewarudisha zama za mawe.
Mwarabu-koko endelea kujitekenya na Kucheka mwenyewe!! Kipondo kiko palepale!!
 
yaani Marekani imekosa kazi, imejawa hofu na kushindwa na Irani kiteknolojia kiasi hicho? dah! Dunia inaenda kwa kasi sana aise πŸ’
Kwa akili yako mgando hivyo unafikiri Iran kwa kupoteza viongozi wake wa kiraia na kijeshi unaita kashinda vita? Ama kweli kwenye Madjid-Ubwabwa mnadanganyana sana!!
 
Kwa akili yako mgando hivyo unafikiri Iran kwa kupoteza viongozi wake wa kiraia na kijeshi unaita kashinda vita? Ama kweli kwenye Madjid-Ubwabwa mnadanganyana sana!!
hakuna mahali nimeeleza alieshindwa vita kati ya Marekani na Irani gentleman, bali kuna nchi imelemewa au kushindwa kiteknolojia dhidi ya nyingine hapo.

ila ninachokiona hapo, ni Marekani kujawa hofu na kiwewe dhidi ya mipango ya Irani isiyojulikana dhidi ya Marekani, na inayosukwa na hao wanamapinduzi wachache kati ya wengi ambao Marekani imewatambua.

Hii ikiashiria kwamba, lolote linaweza kutokea wakati wa michuano ya kombe la duniani litakaloanza hivi karibuni, hasa kwenye kituo cha Marekani πŸ’
 
hakuna mahali nimeeleza alieshindwa vita kati ya Marekani na Irani gentleman, bali kuna nchi imelemewa au kushindwa kiteknolojia dhidi ya nyingine hapo.
Kwa hiyo sasa Iran imeizidi Teknolojia Marekani? Ama kweli Ukiwa Mfuga Midevu na Majini ni Janga la taifa!!

ila ninachokiona hapo, ni Marekani kujawa hofu na kiwewe dhidi ya mipango ya Irani isiyojulikana dhidi ya Marekani, na inayosukwa na hao wanamapinduzi wachache kati ya wengi ambao Marekani imewatambua.
Aliyekudanganya Marekani imejawa na Hofu na kiwewe nani au hixo ni hisia zako?

Kwa hiyo na sisi unataka tukuamini kuwa Marekani ana hofu na kiwewe,? Kwa lipi na kivipi?
 
Gentleman,
kulikoni sasa Marekani aombe msaada duniani kote tena kwa kumwaga madola ya pesa?🀣

hiyo si inamaanisha teknilojia yake imeshindwa kubaini mipango ya Irani dhidi yake, lakini hiyo inatoa picha kua Irani ni tishio kijeshi na kiteknolojia duniani na haiyumbishwi na yeyote ulimwenguni kijeshi au kiuchumi.

Ni wazi Marekani amajawa kiwewe, hajui Irani ataibamiza wapi na kutokea upande upi πŸ’
 
Mwaka huu litrump anaona dunia kwamba ina mwenyewe ambae ameiumba
 
Kwa akili yako mgando unataka kuwafunfisha Marekani hata namna ya wao kufanya kazi!!
 
Sasa marekani anatangaza dau ili nani awakamate wakati yeye kashindwa kwa mwezi mzima aliowashambulia Iran?
 
Sasa marekani anatangaza dau ili nani awakamate wakati yeye kashindwa kwa mwezi mzima aliowashambulia Iran?
Hi ndio point muhimu sana kuitazama kashindwa yeye labda msafisha vyoo kule Tela Aviv Echolima1 anaweza kuja na uharo kuliko wa USA huoni ana jamba jamba anataka kuharisha Iran kuwapiga bomba safari hii wataharisha tu watake wasitake
 
Sasa marekani anatangaza dau ili nani awakamate wakati yeye kashindwa kwa mwezi mzima aliowashambulia Iran?
Kwani Marekani kaanza leo kutoa Donge nono? Kwa magaidi wote huwa anatoa done nono na hii kwake ni kawaida hakuna cha ajabu hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…