Died โWizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa hadi dola milioni 15 kwa taarifa kuhusu watu binafsi na mitandao ya kifedha inayohusiana na shughuli za uzalishaji wa ndege zisizo na rubani za Iran, ikitambua watu kadhaa wanaohusiana na KIPAS - tawi la uzalishaji wa ndege zisizo na rubani la Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Quds kinachohusika katika shughuli za uundaji na usambazaji wa ndege zisizo na rubani.
View attachment 3588945
Zee la uharo.Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa hadi dola milioni 15 kwa taarifa kuhusu watu binafsi na mitandao ya kifedha inayohusiana na shughuli za uzalishaji wa ndege zisizo na rubani za Iran, ikitambua watu kadhaa wanaohusiana na KIPAS - tawi la uzalishaji wa ndege zisizo na rubani la Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Quds kinachohusika katika shughuli za uundaji na usambazaji wa ndege zisizo na rubani.
View attachment 3588945
Jifunze kuandika vizuri kijana na uwe mwepesi kurekebishwa.Eti na wewe unajifanya Mwalimu-Uchwara sasa!!
Shuleni na chuoni ๐Ualimu-Uchwara umejifunzia wapi?
Unajiaibisha kijana, kumbe hata kiswahili unaandika hovyo hivi ๐Aliyekuambia mimi ni Mwandishi ni Mmeo?
Punguza kuwaza makalio na ujifunze kuandika vizuri.Mimi nimejifunzia uandishi kwenye makalio yako!!
Asante sana! amenikimbusha zile novel tulizipenda tukiwa form two za, James Hadley Chase. Jimwae kama ulikuwa mpenzi piaDied โ
Dead โ
saw saw madam
Correction imekuwa debate !Unajiaibisha kijana, kumbe hata kiswahili unaandika hovyo hivi [emoji23]
Punguza kuwaza makalio na ujifunze kuandika vizuri.
Ego ikiwa kubwa sana ni mzigo mkuu ๐ angeomba tu Moderator wabadilishe heading yake yaishe, ila kachagua kubishana na mimi leo nina muda ๐Correction imekuwa debate !
Mwenyewe dada.Jibu swali Mmeo ndiye kakuambia mimi ni mwandishi?
Hilo papai Lina elimu ya hapa na paleDied โ
Dead โ