Want to enroll at Cambridge College | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Want to enroll at Cambridge College

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Bado Niponipo, Oct 10, 2008.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2008
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Habari zenu,

  Naombeni msaada wa mawazo, nimekuwa nikiona tangazo la cambridge college kwa muda, na vile vile nimejaribu kwenda kwenye website yao:- Cambridge International College, sasa hivi nimefikia umamuzi wa ku-enroll na chuo hiki kwa kuwa siwezi kusoma full time kwakuwa mimi ni muajiliwa;
  Sababu za mimi kutaka ku-enroll na Cambridge college ni kwa sababu i can do open and distance learning, i can enroll anytime and start anytime, na kitu kingine ni kuwa ADA yao siyo mbaya kwa mtoto wa mkulima kama mimi(it cost about $375 for a diploma which i think is not bad)

  Naomba msaada wa mawazo kwa watu mnaokijua chuo hicho au hata kwa wale mliosoma kupitia chuo hicho,things like accreditations and stuff na la mwisho kama mlikuwa na ushauri mwingine wowote au suggestion ya chuo kingini kinachotoa huduma za distance learning na kinachotambulika, my aim is to do advertising and marketing.

  Thanks and god bless you all
   
Loading...