Wadau katika pitia pitia yangu ya google kutaka kujua speed halisi anayotoa ISP wangu nimekutana na hii site Speedtest.net - The Global Broadband Speed Test click the link then click BEGIN TEST YOUR PREFERRED SERVER then just wait and let the test take place before results.
im little bit surprised to know speed ninayopewa ina range kati ya 0.15 to 0.18mbps kwa downloading badala ya ile ya matangazo 3.1mbps
Naomba mawazo yenu
Nimekubali kakakaka biashara matangazo...!!!
Mkuu kweli hapa tunauziwa majina tu na si halisia na kwa mwendo huu hiyo 4G bado hadithi huku kwetuPaulss provider wanatudanganya watu kuna sikku nimewai kusema wanawadangayawatu kuwa wanatoa huduma ya data(internet) ya 3G Kiukweli ukingalia Dowload/upload bado tuko kwenye 2G. Bila watu kuelewa haya maneno tutazdi kuibiwa kuna wengine wameshanza kudanganywa mambo ya 4G wakati hata ulaya bado.
Wadau katika pitia pitia yangu ya google kutaka kujua speed halisi anayotoa ISP wangu nimekutana na hii site Speedtest.net - The Global Broadband Speed Test click the link then click BEGIN TEST YOUR PREFERRED SERVER then just wait and let the test take place before results.
im little bit surprised to know speed ninayopewa ina range kati ya 0.15 to 0.18mbps kwa downloading badala ya ile ya matangazo 3.1mbps
Naomba mawazo yenu
Mkubwa uko juu!, ila du unaishi dunia ya tisa au ya kumi? mbona mm yangu inasomeka 46.17 Mbps!

Airtel inajitahidi hadi kufikia 1.2mbps wakati iasomeka 3.6mbps
Mkubwa uko juu!, ila du unaishi dunia ya tisa au ya kumi? mbona mm yangu inasomeka 46.17 Mbps!
huu ni utapeli, you can fool some people sometime, but you cant fool all the people all the time.
im little bit surprised to know speed ninayopewa ina range kati ya 0.15 to 0.18mbps kwa downloading badala ya ile ya matangazo 3.1mbps
kaka biashara matangazo...!!!