Unasemaje kwani? Tabia zetu za nini? Unataka tabia au mchumba? Acheni ushamba wa kuchora kabila fulanifulani kama ndizo zenye tabia fulanifulani.Kila tabia zaweza kuwa katika kila kabila. Kiukweli,sisi wangozi hatuna tabia zinazotufanya tutambulike kama kabila.Kila mmoja ana zake.
Wangoni wana tabia 1 UKIMPA PESA ITAFIKA NYUMBANI LAKINI MKE HATAFIKISHA KWA KIFUPI MLY,
2 NI WALEVI WA KUTUPA
3 WANAPENDA SIFA NA WANAONGEA HATAREE
4 JAMAA NI SMATI UNAWEZA KUTA KAVAA SURUALI NA SHATI KITU KIMEPIGWA PASI NA TAI JUU NYUMA LIMECHANIKA.
5. WANAPENDA KUULAMBA UTAFIKIRI WANAFANYA KAZI TRA KUMBE MAKULI KARIAKOO ENDELEEA.
Unasemaje kwani? Tabia zetu za nini? Unataka tabia au mchumba? Acheni ushamba wa kuchora kabila fulanifulani kama ndizo zenye tabia fulanifulani.Kila tabia zaweza kuwa katika kila kabila. Kiukweli,sisi wangozi hatuna tabia zinazotufanya tutambulike kama kabila.Kila mmoja ana zake.
Bora umkabidhi pesa itafika kuliko mke utajutraaa.
Na kwa pombe ogopa sana.