MOORIINGEE
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 381
- 190
Ulweli mtupu mkuuKwa Viuno hao Hawajambo! Nawakubali Sana Wangoni na Nina Bahati Nao Kweli ila tu Akikukpenda Usimsaliti Kwani Visasi Vyao VINAUMA KWELI! Ni Wataalam pia Wa Kulia Kimahaba na Wanachangamsha Mno Kitandani.
proudly ngoni hakuna raha km kuzaliwa mngoni.
siri ya mtungi ajuaye kata................ funguka mtaniproudly NGONI hakuna raha km kuzaliwa mngoni.
sijaelewa mtani..... unasema?Upuhi pela
teh the hiki kisa nahisi cha kweli............ kumbe ndiyo maana ulikuwa unatutesa majiran zako na kelele duhaisee umenikumbusha mbali sana...kuna wifi yenu mmoja alikuwaga mgoni basi wakati wa kula yale mambo yetu nisipomfunika na mto usoni hizo kelele zake mixer kilio unaweza kujaza majirani wakijua kuna msiba
#Kunjani kuti
hap kuna kisa kizuri.............inaelekea yalishakukuta ulivyomsaliti nini kilitokea? tusaidie hivyo visa wana FJ wajifunzeKwa Viuno hao Hawajambo! Nawakubali Sana Wangoni na Nina Bahati Nao Kweli ila tu Akikukpenda Usimsaliti Kwani Visasi Vyao VINAUMA KWELI! Ni Wataalam pia Wa Kulia Kimahaba na Wanachangamsha Mno Kitandani.
chimunguru maana yake nin? unaweza kujiita mngoni kumbe ndo walele Wamatengoproudly NGONI hakuna raha km kuzaliwa mngoni.
Mkoto kutikinila tete,mwanja tivatova!pa mitu genupo.
Mkoto kutikinila tete,mwanja tivatova!pa mitu genupo.
Yeuuuwiii kumbe we wa kunyumba Mwenzangu. ...
tukuwoni mlongo vangu
Katika jamii za Kibantu tumelelewakatika maisha ya utandi uliyosaidia kuleta udugu na utengamano na umoja wataifa hili na kuondoa ukabila! Nachotaka kusema watani zangu Wangonina Wamatengo ukiwapapesa wanafikisha, ila ukimpatia mwanamke imekula kwako! tatizo lingineWamatengo wanatofauti na wamatengo, ila hata wamatengo nao wanajifanya Wangonihapo wananiacha hio! Wana JF hebu tuambie kabila la watani zako wanasifagani maarufu?