Hapana mkuu wasukuma watoe hapo, katika makabila ambayo naona yanaongoza kwa majina mazuri ya asili nchini ni wasukuma, hawa wenye majina mabaya ni wachache sana, yani wasukuma hata majina ya maeneo yao tu ni mazuri, mfano majina ya maeneo ya usukumani niliyoyapenda ni Rwamgasa, Lwenzera, Runzewe, Ushirombo, Lulegeya, Izumacheli, nk