Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
mambo haya huamsha hasira ambayo haitapozwa kwa damu ya kuku.......
Hivi makonda hajakamatwa tu jamani mpaka salsa? Angekuwa mwanachama Wa Chadema ndo anatuhumiwa hivo angekuwa mtaani kweli?
Hakuna bhana! msikubali kabisa hadi akamatwe.., nendeni mkalale uchi barabarani..!Hiyo ndiyo Tanzania
Tena wakalale kwenye barabara ya tareni ya tazara ndiyo nzuri iko imara zaidi au wakalale kwenye njia ya kivuko cha kwenda kigamboni.Hakuna bhana! msikubali kabisa hadi akamatwe.., nendeni mkalale uchi barabarani..!
Mbona hata hizo fujo za jana mmefanya nyie na lile kundi lenu la tindikali la pale bavicha unadhani hatujui halafu mnamsingizia makondo mmepwelewa nyie.
tena wakalale kwenye barabara ya tareni ya tazara ndiyo nzuri iko imara zaidi au wakalale kwenye njia ya kivuko cha kwenda kigamboni.